0
Tume ya Uchaguzi ya Taifa imetangaza kuahirisha uchaguzi mdogo wa Madiwani uliokuwa ufanyike tarehe *30.06.2013 *katika Kata nne -Elerai, Themi, Kaloleni, Kimandolu- za halmashauri ya Manispaa ya Arusha. Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema badala yake uchaguzi huo utafanyika tarehe *14 Julai 2013.* Amesema sababu kubwa ya kuahirisha tena uchaguzi huo ni kuwapa wananchi muda wa wiki mbili zaidi za kutulia kutokana na taharuki iliyotokea katika mkoa huo siku chache zilizopita, hali ambayo inaweza kuathiri upigaji kura na matokeo. Uchaguzi huo awali ulipangwa... more »
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

Post a Comment

 
Top